Thursday, August 15, 2013

SONY DSCNa Gervas Charles Mwatebela, Dar es salaam
Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dakta Shukuru Kawambwa amezindua mpango wa matokeo makubwa sasa huku akiwataka wadau kushirikiana katika kuinua kiwango cha elimu hapa nchini.
Waziri huyo amesema tayari chombo cha kufuatilia na kutathmini maendeleo maendeleo ya mpango huo kimeundwa na kusema ni wakati wa walimu,wazazi,serikali na wadau wengine kufanya kazi kwa pamoja katika kufanikisha maendeleo ya elimu.
Amesema mpango huo utajikita katika maeneo manne ya msingi ambayo ni pamoja na kuinua hadhi ya elimu ya msingi na sekondari,kuwepo kwa uwazi kutoa motisha na uwezeshaji kwa watendaji wake.
Aidha naibu Waziri Phillip Mulugu yeye akiwa na dhamana ya kusimamia ukaguzi na elimu ngazi ya msingi hadi vyuo vya ualimu amesema atahakikisha ufanisi kwa walimu na wasimamizi wa elimu hapa nchini.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video