Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsaidia kutembea mtoto ,Asante Mtega wa kituo cha kulea na kuwasaidia watoto wenye ulemavu cha cha Inuka kilichopo Mayale Iringa wakati alipokitembelea Julai 8,2013.. Katikati ni Mkewe Tunu na Kushoto ni Askofu wa kanisa Katoliki Njombe, Alfred Maluma. (picha na Ofisiya Waziri mkuu)
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi wa Kijiji cha Igwachanya wilayani Wanging’ombe wakati alipoingia kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 8, 2013. Kushoto ni Mkewe Tunu na Kulia ni kuu wa Wilaya hiyo Estelina Kilasi (Picha na Ofisi ya Waziri )
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Alfred Maluma wakiweka jiwe la msingi la Chuuo cha Kilimo na Mifugo cha Mare- Mayale , Katika wilaya ya Wanging’ombe , Julai 8,2013. kulia ni mkewe Tunu Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe,Alfred Maluma kabla ya kuwaslimia wananchi katika misheni ya Ilembula wilayani Wanging’ombe akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 9,2013. (Picha na Ofisi ya WaziriMkuu)Waziri Mkuu, Mizengo pinda akiihutubia mkuano wa hadhara katika kijiji cha Igwachanya , Makao makuu ya wilaya ya Wanging’ombe akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 8, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri)
0 comments:
Post a Comment