Saturday, July 6, 2013

Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania Bibi Vibeke Jensen kulia alipotembelea ofisini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga na kushukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na Waziri Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini.Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko. PIX2 
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania Bibi Vibeke Jensen alipotembelea ofisini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga na kushukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na Waziri Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini, wa kwanza kulia ni Mtaalam wa Elimu kutoka UNESCO Abdoul W Coulibaly, Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko. PIX4 
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (Kushoto) akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania Bibi Vibeke Jensen alipotembelea ofisini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga na kumshukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na Waziri Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini. PIX5 
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (Kushoto) akiagana  na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania Bibi Vibeke Jensen alipotembelea ofisini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga na kumshukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na Waziri Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini.
Picha  zote na  Frank Shija – Maelezo

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video