Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa VETA Idrisa Mshoro (katikati)akipewa maelezo na Alfan Ngowo juu ya Teknolojia za ukusanyaji wa taarifa za ardhi na mazingira wakati alipotembelea katika banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.kulia niMkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi na Makamu Mwenyekiti wa Maonesho wa VETA Abduri Mollel
Baadhi ya wanafunzi waliofika katika banda la VETA wakipata maelezo kutoka kwa Theopista Michael ambaye ni mwanafunzi wa chuo VETA cha Njiro Arusha kinachotoa mafunzo ya Diploma ya mambo ya hoteli na utalii.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipewa maelezo na Mwalimu wa VETA Tabora Diana Mlengeki juu ya mashine ya useketaji wa nguo aina mbalimbali zitokanazo na nyunzi wakati alipofika katika banda la VETA kujionea shughuli mbalimbali zinazotplewa na Chuo hicho katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa VETA Idrisa Mshoro (katikati)akimsikiliza Mkufunzi wa madereva Anthony Gaspar wakati alipokuwa akimuelezea njinsi ya madereva wanavyoweza kuzuia ajari baada ya kupewa mafunzo wakati alipotembelea katika banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.kulia niMkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi na Makamu Mwenyekiti wa Maonesho wa VETA Abduri Mollel
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi wakati alipotembelea katika banda la VETA kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na chuo hicho katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment