Meneja
Mauzo wa Na Usambazaji wa TBL Kanda ya Ziwa, Malaki Staki wa kwanza
(kulia), kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu
Agostino, Dkt,Charles Kitima, kwa pamoja wakikaka utepe kuzindua moja ya
matanki ya kuhifadhi maji,katika chuohicho.Mradi huo umetekelezwa na
TBL kwa gharama ya sh. Milioni 50.
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine, Dkt Charles Kitima wa nne
kutoka kushoto, Meneja Mauzo na Usambazaji wa TBL Kanda ya Ziwa, Malaki
Staki, wa nne kutoka kulia wakiwa katika picha ya pamoja baada ya
kukabidhi matanki mawili ya maji kwa chuo hicho.Wa pili kutoka kulia ni
Askafu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Askofu Yuda Thadeus Ruwa’ich.wa
kwanza , kulia ni Askofu Paul Luzoka .kulia kwa Dkt Kitima ni Padri
Mwanjonde.
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Stephen Kilindo,akizungumza na baadhi ya
wenyeviti (hapo pichani) wa Vijiji vya Wilaya ya Misungwi ()muda
mfupi kabla ya kukabidhi hundi ya sh.49 milioni kwa ajili ya kukarabati
visima vya maji wilayani humo.Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmshauri ya
Wilaya hiyo, Nathan Mshana na Meneja Mauzo na Usambazaji a TBL Kanda ya
Ziwa, Malaki Staki.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Misungwi, Nathan Mshana akizungumza na baadhi ya
wenyeviti wa vijiji wilayani humo (hawapo pichani), muda mfupi kabla
ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 49 kutoka Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL)
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya
Ziwa.Malaki Staki akimkabidhi mfano wa hundi Mkurugenzi wa Ufundi wa
kampuni ya Nyagama Investment Ltd Simon Mazuka, kwa ajili ya kutekeleza
mradi wa ukarabati wa visima 20 vya maji katika baadhi ya vijiji vya
wilaya ya Misungwi.Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria
wa TBL, Stephen Kilindo,wa pili ni kutoka kushoto ni Mhandisi wa Maji
Wilayani Misungwi,Jumanne Kitiku.Nyuma ya Malaki ni DED wa Halmashauri
ya Misungwi, Nathan Mshana na wa kwanza kushoto ni Afisa Mipango wa
Halmashauri hiyo,Pastory Mkaruka.
Meneja
Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Ziwa
Malaki Staki ,akiwa katika picha ya pamoja na wenyeviti wa baadhi ya
vijiji vya wilaya ya Misungwi ambao mradi ya ukarabati wa visima
utakaoanza kutekelezwa mapema mwezi huu, baada ya Kampuni ya TBL
kukabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 49.
0 comments:
Post a Comment