Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko akifafanua jambo kwa waandishi wahabari alipokutana na Wageni kutoka Taasisi ya Right To Play leo jijini Dar es Salaam.Afisa Mtendaji Mkuu wa Right To Play International ambaye pia ni mwanzilishi wa Taasisi hiyo Johenn Olav Koss akisisitiza jambo katika mkutano baina yake na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo leo jijini Dar es SalaamMeneja wa Right To Play Tanzania Bibi Josephine Mukakalisa (Kulia) akifafanua jambo katika mkutano wa Taasisi yao na uongozi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo jana jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Right To Play International Johenn Olav Koss.Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leonard Thadeo akifafanua jambo kwa waandishi wahabari alipokutana na Wageni kutoka Taasisi ya Right To Play leo jijini Dar es Salaam,Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Michezo Bibi Juliana YassodaBaadhi ya wajumbe kutoka Right To Play wakifuatilia hotuba iliyokuwa inatolewa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo hayupo pichani,kutoka kulia ni Johenn Olav Koss Afisa Mtendaji Mkuu wa Right To Play kutoka Toronto Canada, Kelvin Taylor Makamu wa Rais wa Right To Play kutoka New York na Francis John Rwiza Meneja Miradi wa Right To Play Tanzania
Home
»
»Unlabelled
» SERIKALI KUSHIRIKIANA NA RIGHT TO PLAY KUENDELEZA MICHEZO
Tuesday, July 9, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment