Tuesday, July 9, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Kocha mpya wa mabingwa wa soka nchini England, Mashetani wekundu wenye makazi yao katika dimba la Old Trafford, David Moyes ameanza maisha yake mapya akiwa na United badala ya Everton na leo hii amewaweka pamoja wachezaji wake katika uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo wa Carrington akiwaongoza kufanya mazoezi.
Moyes aliambatana na msaidizi wake Steve Round tofauti na kocha aliyemrithi mikoba, Sir Alex Ferguson ambaye alikuwa anasaidiwa na  Mike Phelan pamoja na Rene Meulensteen na kuifanya United kuwa timu bora kwa muda mrefu.
Nyota asiyetabirika kwa sasa kama atabaki United au la!, Wayne Rooney, nyota mpya aliyesajiliwa Wilfried Zaha na kocha mchezaji, mkongwe Ryan Giggs ni miongoni mwa wachezaji waliohudhuria katika jalamba hilo la kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu soka nchini England.
Welcome aboard: Manager David Moyes greets new signing Wilfried ZahaKaribu kwa wanaume dogo: Meneja wa United,  David Moyes akimsalimia nyota mpya wa klabu hiyo Wilfried Zaha
New boy: Zaha posted this picture on instagramMwanzo mzuri: Zaha aliweka picha hiyo Instagram leo
Zaha ana kazi kubwa ya kumvutia kocha wake Moyes ili kuondoa taarifa za kocha huyo kuwa ana mipango ya kumtafutia tena timu ya kucheza kwa mkopo ili akatafute uzoefu zaidi.
Nyota huyo alisajililiwa kutoka Crystal Palace kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 15, ameonekana kuwa na furaha kubwa sana kucheza Old Trafford.
Zaha mwenye umri wa miaka 20 amefurahishwa na kuanza mazoezi kwa mara ya kwanza na klabu ya United na aliandika katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twita kuwa “Siku yangu kubwa ya kwanza”.
Wakati Zaha akifurahia kupiga matizi United, kocha wa United, Moyes anasemekana kuwa na kazi ya kuunganisha kikosi chake, na amekubali kuendeleza utamaduni wa soka la mashetani hao wekundu.
“Ninataka kucheza aina ile ile ya soka, utamaduni ule ule wa kucheza soka la kuonesha burudani na kuwafurahisha mashabikin, kikubwa ni kushinda na nitahakikisha nashinda kama Sir Alex Ferguson”. Alisema Moyes.
Hands-on approach: David Moyes during a first team training sessionAkionesha shughuli: David Moyes akiwa na timu katika  mazoezi ya kwanza
On the ball: Moyes watches onHapa ni pasi tu: Moyes akiwatazama wachezaji wake wakifanya mazoezi
Box clever: Moye talks to assistant manager Steve Round Moye akizungumza na msaidizi wake Steve Round 
Warm-up: Danny Welbeck and Rio FerdinandWakipasha moto misuli: Danny Welbeck na Rio Ferdinand
All smiles: Wayne Rooney appeared to be making the most of fresh start (above) after falling out with Sir Alex Ferguson (below)Tabasamu kubwa: Wayne Rooney ameonekana mwenye furaha wakati wa mazoezi ya United baada ya msimu uliopita kutofautiana na Sir Alex Ferguson
Manchester United manager Sir Alex Ferguson (right) speaks with Wayne Rooney on the touchline

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video