Thursday, July 18, 2013

Na Baraka Mpenja kwa Msaada wa Sportsmail.com
Kocha wa wekundu wa Anfield au majogoo wa jiji, Brendan Rodgers amesisitiza kuwa mshambuliaji wake nyota Luis Suarez  ataanza msimu mpya wa ligi kuu soka nchini England akiwa mchezaji wa Liverpool , labda kama mambo mengine makubwa yatatokea.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mjini Jakarta, kocha huyo ameweka bayana mipango yake kuwa ni kumbakisha nyota huyo raia wa Uruguay katika dimba la Anfield licha ya klabu za Arsenal na Real Madrid kumkodolea macho ya kuitaka saini yake.
Mapema wiki hii Mkurugenzi mtendaji wa Liverpool,   Ian Ayre,  alithibitsha kuwa  Arsenal ndio timu pekee iliyotuma ofa kwa Suarez, lakini kitita chao cha pauni milioni 30 kujumlisha tano walizoongeza ni ngumu kwa Liver kukubali kwani haiendani na thamani na jembe lao la ukweli.
Rodgers alisema kila wakati anawasiliana na Suarez na amekuwa akimueleza kuwa atajiunga na Liverpool wakati wa mchezo wao wa pili katika ziara yao wiki ijayo dhidi ya Melbourne, na katika mawasiliano hayo, kocha huyo ana imani kuwa nyota wake huyo mwenye umri wa miaka 26 ataendelea kubakia Anfield.
“Ni mchezaji wa ajabu,. Ni mchezaji wa Liverpool. Lakini haijalishi mchezaji ni mkubwa kiasi gani, hawazi kuwa mkubwa zaidi ya klabu ya Liverpool”. Alisema Rodgers.
“Luis ni mchezaji muhimu sana katika kikosi changu na naangalia namna ya kubaki naye msimu ujao. Kuna tetesi nyingi sana kuhusu yeye kuondoka, lakini bado naweza kusema ni mchezaji wa Liverpool”. Alisema Rodgers.
Proud to be here: Liverpool have begun their pre-season tour in JakartaSifa kubwa kuwa hapa: Liverpool wameanza ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu soka nchini England ,  Jakarta
Flying the flag: Liverpool boss Brendan Rodgers stands with the flag of IndonesiaKocha wa  Liverpool,  Brendan Rodgers akiwa na bendera huko nchini Indonesia
Making a stance: Rodgers stated in his press conference that Suarez was not going to leave LiverpoolBado anajiamini sana: Rodgers amezungumza na wanahabari na kusema Luis Suarez ni mchezaji wa Liverpool na hataondoka kama tetesi zinavyosema
In deep thought: Rodgers looks on in training during Liverpool's Asia tourAkiwa katika dimbwi la mawazo: Rodgers jinsi alivyoonekana katika mazoezi ya Liverpool huko
Put through their paces: Liverpool players, including Steven Gerrard (left) train at the Gelora Bung Karno Stadium in Jakarta as they begin their pre-season tour of AsiaWakigongeana pasi kwa uzuri: Wacheaji wa Liverpool , akiwemo Steven Gerrard (kushoto) wakiwa katika mazoezi uwanja wa Gelora Bung Karno mjini Jakarta wakianza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu soka nchini England
Getting shirty: Fabio Borini (left) and Martin Skrtel battle for the ball in trainingUsinivute bwana: Fabio Borini (kshoto) na  Martin Skrtel wakigombania mpira katika mazoezi ya Liverpool
Wants out: Luis Suarez has stated he wants to leave LiverpoolAnawindwa ile mbaya: Luis Suarez amesema wazi kuwa anataka kuihama Liverpool

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video