Mhe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,
amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalo
fanyika Jumapili hii, Julai 7 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es
salaam. Aidha, Rais atahutubia katika tamasha na pia atakuwa refa wa
mechi za wabunge wa Yanga na Simba.
Home
»
»Unlabelled
» RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE KUWA REFA MECHI YA WABUNGE!!
Saturday, July 6, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment