MAMBO YA USAFIRI JAMANI, KUWENI MAKINI MUENDESHAPO VYOMBO VYENU, AJALI INAUA Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiangalia ajali iliyotokea leo asubuhi eneo la Mwananyamala A, iliyojuisha Magari mawili madogo na Dalala moja hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali hiyo. (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
0 comments:
Post a Comment