Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo.mchana (kushoto) Sheikh Said Salum Bakhresa.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduzimDk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa mfadhili wa Kampuni ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria,Sheikh Said Salum Bakhresa,wakatimalipotembelea ukumbi wa VIP,na Business Class,katika sherehe za ufunguzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo mchana.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alitembelea sehemu mbali mbali katika
ikiwemo IMMIGRATION DEPARTURES pamoja na Viongozi aliofuatana nao baada ya kugungua Bandari ya Abiria katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Injinia Mkuu wa
Shirika la Bandari Mbarouk Hamad,(katikati) wakati alipotembelea sehumu ya Kuegeshea Meli ya Mizigo katika sherehe za ufunguzi wa
Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo mchana.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi zawadi mfadhili wa Kampuni ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria,Sheikh Said Salum Bakhresa, katika sherehe za ufunguzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo mchana. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na waalikwa
katika sherehe za ufunguzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo.mchana,(kushoto) Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundimbinu Issa Haji Ussi (Gavu) Harison Mwakiembe Waziri wa Miundombinu Bara,na Sheikh Said Salum Bakhresa (kulia).[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

0 comments:
Post a Comment