Saturday, July 6, 2013


KLABU ya Chelsea imekamilisha usajili wa kiungo wa Uholanzi, Marco van Ginkel.
Kinda huyo wa umri wa miaka 20 anatua akitokea klabu ya Ligi Kuu Uholanzi, iitwayo Eredivisie, Vitesse Arnhem kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 9 na amesaini Mkataba wa miaka mitano Stamford Bridge.
Van Ginkel ameibukia kwenye programu ya soka ya vijana ya Vitesse na alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa akitokea benchi Uholanzi ikitoa sare na Ujerumani  Novemba mwaka jana.
New boy: Chelsea have confirmed the signing of midfielder Marco van Ginkel from Vitesse
Kijana mpya: Chelsea imethibitisha usajili wa kiungo, Marco van Ginkel kutoka Vitesse
Welcome: Van Ginkel signs his contract with club secretary/director David Barnard at Cobham
Karibu: Van Ginkel akisaini Mkataba na Katibu wa klabu, David Barnard huko Cobham
Chelsea's new signing Marco Van Ginkel signs his contract at Cobham
 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video