Saturday, June 15, 2013

Nyomi kubwa getini, na bado watu wanamiminika kwa lengo la kushuhudia show maridadi IMG_0401 
Watu wakisubitri kupata burudani IMG_0404 IMG_0418 
Hivi ndivyo mambo yalikuwa ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounch, Namanga jijini Dar es salaam ambapo kulikuwa na bonge la show la mwanadada na mkongwe wa tasnia ya muziki nchini Tanzania, Lady Jay Dee ambaye anatimiza miaka 13 katika muziki na kupata mafanikio makubwa sana. Katika show hiyo walikuwepo wanamuziki wakongwe akiwemo mheshimiwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi a.k.a Mr.II Sugu. IMG_0421 
Mwendo mdundo, mwenye macho haambiwi tazama, show hii ni moto wa kuotea mbali, pichani burudani za utangulizi zilizopamba zikiendelea kama kawaida, huku wadau wakiendelea kupata raha tu IMG_0427 IMG_5363 IMG_5365
PICHA ZOTE NA BLOG YA MDODOSAJI

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video