Tuesday, June 18, 2013

Waziri wa Fedha Dkt .William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada(kulia)wakibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi  bilioni 77.7 kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Sherehe zilifanyika jana (leo) mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(katikati)  2 
Waziri wa Fedha Dkt .William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada(kulia)wakibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi  bilioni 77.7 kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Sherehe zilifanyika jana (leo) mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(katikati) 3 
Balozi wa Japan nchini Masaki Okada(kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana (leo) mjini Dodoma mara baada yake kusaini na Tanzania hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi  bilioni 77.7 kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Wengine ni Waziri wa Fedha Dkt .William Mgimwa (katikati) na  Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(kushoto) 4Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la  Japan hapa nchini(JICA) Yasunori Onishi(kulia) akielezea mkakati  watakaoutumia katika ujenzi wa daraja la juu katika makutano ya TAZARAjana(leo) mjini Dodoma wakati wa sherehe za kusaini hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi  bilioni 77.7  kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Wengine ni Balozi wa Japan nchini Masaki Okada ( wa pili kutoka kulia) , Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa (wa pili kushoto)  na  Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(kushoto) 5a 
Waziri wa Fedha Dkt .William Mgimwa (katikati ) na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la  Japan hapa nchini(JICA) Yasunori Onishi(kulia)wakisaini  hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi  bilioni 77.7 kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Sherehe zilifanyika jana (leo) mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(kushoto) 6 
Waziri wa Fedha Dkt .William Mgimwa (katikati ) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada(kulia)wakisaini  hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi  bilioni 77.7 kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Sherehe zilifanyika jana (leo) mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(kushoto) jica tzMwakilishi wa Shirika la Maendeleo la  Japan hapa nchini(JICA) Yasunori Onishi(kulia) na Waziri wa Fedha wakibadilishana hati ya ujenzi wa  daraja la juu katika makutano ya TAZARAjana(leo) mjini Dodoma wakati wa sherehe za kusaini hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi  bilioni 77.7 kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Wengine ni Balozi wa Japan nchini Masaki Okada ( kulia) ,  na  Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(katikati)   maguful 
Dr. Magufuli—Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana(leo)  mjini Dodoma juuu ya juhudi za Serikali ya Rais Jakaya Kikwete ya kupunguza msongamano katika Jiji la Dar es salaam ambapo jana (leo) Tanzania imepata mkopo wa shilingi bilioni 52.5 kutoka Japan kwa ajili ya Ujenzi wa Barabara za Juu katika makutano ya TAZARA. Wengine ni Waziri wa Fedha Dkt . William Mgimwa(katikati) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada(kullia)
Picha na GCU-HAZINA_Dodoma
 
Na Mwandishi wetu_GCU–HAZINA-Dodoma
 
Tanzania na Japan zimetiliana saini mkataba wa makubaliano wa mkopo wenye riba nafuu wa kuikopesha Tanzania shilingi bilioni 77.7 kwa ajili ya kutekeleza shughuli za  maendeleo hapa nchini.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo(jana) mjini Dodoma ambapo kwa Tanzania iliwakilishwa na Waziri wa Fedha Dkt .William Mgimwa  na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada.
Akizungumza mara baada ya kutiwa kwa saini makubaliano hayo Waziri wa Fedha Dkt. Mgimwa alisema kati ya fedha hizo shilingi bilioni 52.5 zitatumika katika ujenzi wa barabara ya juu kwa juu(daraja) katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam  .
Aliongeza kuwa kiasi kilichobaki ya shilingi bilioni 25.2 zitatumika katika kupunguza umaskini kwa fedha hizo kuingizwa katika Mfuko wa Bajeti( General Budget Supoort-GBS) .
Dkt. Mgimwa alisema kuwa mkopo huo umetolewa kwa masharti nafuu ambapo riba yake ni asilimia 0.01 na utalipwa kwa kipindi cha miaka 30 ambapo Tanzania itaanza kuulipa baada ya miaka 10 kutoka sasa.
Naye Balozi wa Japan nchini Masaki Okada alisema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa daraja la juu katika makutano ya TAZARA utasaidia kupunguza msongamano katika Jiji la Dar es salaam na hivyo kupunguza muda wa watumiaji wa barabara za Jiji hilomkukaa katika foleni.
Alisema kuwa hatua hiyo itasaidia kuchochea ukuaji wa uchumi kwa kuwa wananchi wa Dar es salaam watakuwa na muda mrefu wa kufanya kazi kuliko kukaa katika foleni.
Naye Waziri wa Ujenzi Dkt. Jphn Magufuli alisema kuwa daraja hilo litakuwa na urefu wa Kilometa 1.2 na kuongeza kuwa kukamilika kwake itakuwa hatua mkombozi kwa wakazi wa Dar es salaam.
Alisema kuwa Serikali itaendelea kuboresha barabara mbalimbali za jiji la Dar es salaam ili kuhakikisha kuwa foleni katika mji huo zinapungua .
Aidha Dkt. Magufuli alitoa siku saba kwa wakazi walioko kandokando ya barabara ya Mwenge Morocco kubomoa nyumba zao zilizoko katika hifadhi ya barabara kabla Serikali hajaanza kutekeleza zoezi hilo kwa nguvu.
Alisema kuwa kimsingi wananchi wa eneo hilo walishalipwa fidia hivyo hawana sababu ya kuchelewesha upanuzi wa barabara hiyo ambapo inasababisha foleni kwa watumiaji.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video