Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi DK Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Yahya Moosa
Albakri,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo asubuhi kwa
mazungumzo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi DK Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Yahya Moosa
Albakri,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo asubuhi.[Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment