KUTOKA KWA BIN ZUBEIRY
Tunatishaa
Watanzania dunia nzimaaaMshambuliaji wa zamani wa SImba SC, Mussa
Hassan Mgosi akifuarahia ushindi wa timu ya Jumuiya ya Watanzania nchini
China wa mabao 2-1 dhidi ya Jumuiya wa watu wa Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Kongo (DRC) jana katika mashindano maalum. Mgosi ambaye kwa sasa
anachezea JKT Ruvu ya Dar es Salaam pia, amekwenda huko kama mchezaji
mwalikwa kwa mwaka wa pili mfululizo.;
|
Mgosi akipongezwa na Watanzania waishio China kwa kazi nzuri |
Nahodha wa Tanzania na DRC, wakibadilishana bendera za nchi zao mbele ya marefa wa mechi hiyo jana kabla ya kuanza kwa mchezo |
Pati la ushindi wabongo China |
Benchi.. |
Wapinzania marafiki |
Mwali huyo... |
0 comments:
Post a Comment