Thursday, June 13, 2013

Picha ya Marehemu Mzee Julian Kibindo Lukindo DSC07984 
Bibi Suzana Mungy wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) akiweka udongo katika kaburi la Baba yake mzazi Mzee Julian Kibindo Lukindo(78) ambaye amezikwa  jana jioni kijijini kwake Muheza Tanga Mzee Lukindo amezaliwa 1935 na amefariki tarehe 10june2013 DSC07982 
Mama Mzazi wa Suzana Mungy  bibi Agnesi Julian Lukindo(75) akiweka udongo katika kaburi la mumewe mpendwa mzee Julian Lukindo DSC07971 
Wakwe wa Marehemu Mzee Julian Lukindo wakiwa wana jianda kushusha jeneza ndani ya kaburi aliye vaa miwani ni Bw Inocent Mungy kulia kwake ni Bw Juma Ndambile  Mume wa Isabela DSC07967 
Bibi Suzana Mungy akiwa pamoja na ndugu zake makaburini  pembeni ya jeneza la Baba yao Mzee Julian Lukindo 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video