Wanafunzi
wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Suza kilichokuwepo Tunguu wakiwa katika
Ukumbi wa Juu wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia maswali na majibu
pamoja na mijadala mbalimbali inayoendelea katika Baraza hilo
lililokuwepo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohd Aboud Mohd akijibu Maswali
mbalimbali alioulizwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi lililokuwepo
Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Muwakilishi
wa Jimbo la Mkwajuni Mbarouk Wadi Mussa kulia akiwa pamoja na
Mwenyekiti wa Baraza kupitia nafasi za Wanawake Mgeni Hassan Juma
wakipitia karatasi mbalimbali za maswali na majibu katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi lililokuwepo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Waziri
wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakari akionyesha karatasi ya Warka
wa Kiwanja alipokuwa akijibu maswali mbalimbali alioulizwa na Wajumbe
wa Baraza la Wawakilishi huko Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.
0 comments:
Post a Comment