Mkuu
wa Kitengo Cha Ukaguzi wa Mikataba katika Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.
Steven H. Issack alipotembelea banda la wizara ya fedha kutaka kupata
ufafanuzi juu ya uanzishwaji wa mikopo kwa watumishi wa umma kutoka kwa
Mhasibu Mkuu wa Serikali, kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mikopo
Bi. Christine Ngonyani na kulia ni Bi. Miriam Mnzava Nchini Ghana.
Mkuu
wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa
Serikali Bi. Christine akiwaeleza wananchi wa Ghana jinsi idara ya
Mhasibu Mkuu wa Serikali inavyosaidia Watumishi wa Umma katika kupata
Mikopo.

Washiriki
wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kutoka Tanzania na nchi
nyingine wakifurahia ushiriki katika maonesho hayo Nchini Ghana. Mwakilishi
kutoka Wizara ya Fedha chini ya Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Miriam
Mnzava alipotembelea banda la Zimbabwe wakati wa maonesho hayo.
Msemaji
wa Wizara ya Fedha akiwa ameambatana na washiriki wengine kutoka wizara
ya fedha wakiwa kwenye banda la Zimbambwe wakibadilishana uzoefu juu ya
utendaji kazi katika nyanja mbalimbali walipokuwa Nchini Ghana.
0 comments:
Post a Comment