Wasanii
wa kikundi cha sanaa cha Afrigay Talent Base cha Magomeni Dar es
Salaam, kikitumbuiza wakati wa hafla ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia
Tvanzania (TBL), kufahi pamoja na familia zao Kunduchi Water Park, Dar
es Salaam.
Mkurugenzi
wa Fedha wa TBL, Kelvin (kulia), akimkabidhi George Magombeka zawadi ya
saa ya ukutani baada ya kuwa mshindi wa riadha katika bonanza hilo la
kukata na shoka lililofanyika Kunduchi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza
kushindana kuvuta kamba katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar
es Salaam, wakati wa sherehe ‘Tbl’s Family Day’.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza
soka katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam juzi,
wakati wa sherehe ‘Tbl’s Family Day’.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza
soka katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam juzi,
wakati wa sherehe ‘Tbl’s Family Day’.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa
kushindana mbio za magunia katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi
Dar es Salaam, wakati wa sherehe ‘Tbl’s Family Day’.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa
kushindana mbio za magunia katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi
Dar es Salaam juzi, wakati wa sherehe ‘Tbl’s Family Day’.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza
mpira wa wavu katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam,
wakati wa sherehe ‘Tbl’s Family Day’.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kucheza
mpira wa wavu katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Kunduchi Dar es Salaam,
wakati wa sherehe ‘Tbl’s Family Day’.
Wato wa familia za wafanyakazi wa TBL, wakifurahi kwenye moja ya mabwawa ya kuogelea
Meneja wa Kiwanda cha TBL, Dar es Salaam, Calvin Martine akimkabidhi zawadi mmoja wa wattoto waliofanya vizuri kwenye michezo
Wafanyakazi wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakifurahi na familia zao kwa kushindana
kucheza mpira wa kikapu ndani ya maji eneo la Kunduchi Dar es Salaam
juzi, wakati wa sherehe ‘Tbl’s Family Day’.
Ni msosi kwa kwenda mbele
0 comments:
Post a Comment