Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Kikao cha SMZ na SMT, kiliochofanyika Dodoma
Hoteli, leo Juni 23, 2013. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda, na
(kushoto) ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd. Picha
na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
leo ameongoza Kikao cha SMT na SMZ, kilichofanyika kwenye ukumbi
wa Dodoma Hoteli, mjini Dodoma, leo Juni 23. Kikao hicho kimehudhuriwa
pia na mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa pili wa Rais
wa Zanzibar, Balozi, Seif Idd, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amani, Ali
Juma Shamhuna na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samih Suluhu pamoja na washiriki wa kikao hicho Mawaziri kutoka serikali zote mbili za Tanzania Bara na Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment