Mwili wa Langa Kileo ukiwa nyumbani kwao Mikocheni Jijini Dar.
Langa enzi za uhai wake.…
Mwili wa Langa Kileo ukiwa nyumbani kwao Mikocheni Jijini Dar.
Langa enzi za uhai wake.
Ndugu wa marehemu wakiaga.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Langa.
Ridhiwan Kikwete (kushoto) akiwa msibani.
Taratibu
za mazishi ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Langa Kileo
zimeanza rasmi ambapo leo asubuhi ameagwa na familia yake nyumbani kwao
Mikocheni Jijini Dar. Waombolezaji wengine watapata muda wa kumuaga
mwanamuziki huyo saa 7 mchana na mazishi yanatarajiwa kufanyika Makaburi
ya Kinondoni jijini saa 9 alasiri.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL )
0 comments:
Post a Comment