Sunday, June 16, 2013

Na Baraka Mpewnja kwa msaada wa Sportsmail.com
Michuonp ya kuwania kombe la shirikisho la FIFA inayofanyika kwa wazee wa Samba “The Samba Boys” nchini Brazil imeanza kutimua vumbi rasmi usiku wa jana.
WENYEJI Brazil Jana Usiku walianza kwa kishindo Mechi yao ya KUNDI A iliyochezwa
Estadio Nacional de Brasilia Mjini Brasilia kwa kuwatandika Mabingwa wa Asia Japan mabao 3-0 na kuibua shangwe kubwa mashaniki wa timu hiyo ambao kwa muda mrefu hawajapata mafanikio makubwa .
Mabao ya Brazil yalifungwa na Neymar, kwa Bao safi sana la Dakika ya 3 tu, na Paulinho kupiga Bao la Pili katika Dakika ya 48 na Jo kufunga la mwisho katika Dakika za Majeruhi.
Leo Usiku zipo Mechi mbili kati ya Mexico v Italy, KUNDI A, na kufuatiwa na ya KUNDI B kati ya Mabingwa wa Dunia Spain v Uruguay.
VIKOSI:
BRAZIL: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, Luiz, Marcelo, Oscar, Gustavo, Paulinho, Fred, Neymar, Hulk.
Akiba: Jefferson, Fernando, Lucas Moura, Hernanes, Dante, Filipe Luis, Jean, Rever, Bernard, Jo, Jadson, Cavalieri.
JAPAN: Kawashima, Konno, Nagatomo, Uchida, Yoshida, Endo, Honda, Kiyotake, Kagawa, Hasebe, Okazaki.
Akiba: Nishikawa, Inoha, Gotuko Sakai, Havenaar, Hosogai, Nakamura, Kurihara, Maeda, Inui, Takahashi, Hiroki Sakai, Gonda.
Refa: Pedro Proenca (Portugal)
Neymar
Neymar
Huyu mtoto ni balaa: Neymar alifungua ukurasa wa mabao kama inavyoonkena hapo katika picha ya chini

Neymar's goal
Neymar's goal
Party time: Chelsea star David Luiz gets involved with the celebrations 
Shangwe kubwa: Mlinzi wa Chelsea , David Luiz akishangilia bao pamoja na wenzake
Double trouble: Paulinho struck to add to Brazil's lead as they earned a tidy victory in the tournament opener 
Paulinho akiandika kimiani bao la pili kwa wazee wa Samba
How about that? Former Manchester City striker Jo tucked the ball away for the third goal late on 
Mchezaji wa zamani Manchester City Jo tucked akizamisha nyavuni bao la tatu
Unhappy: Southampton's Maya Yoshida holds the net sadly after Brazil scored their third 
Kufungwa kunauma sana: mchezaji wa Southampton na timu ya taifa ya Japan,  Maya Yoshida akishika nyavu kwa huzuni baada ya kufungwa bao la tatu
Impressive: Oscar put in a superb display and set up Jo's goal to put the cherry on the cake

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video