Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mjumbe
wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha
Kikomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan hayupo pichani wakati wa
mazungumzo yao na ujumbe wa chamnye hoteli ya Courtyard Jijini Dar es
salaam ujumbe wa chama hicho uko hapa nchini kwa mazungumzo ya
kuimarisha uhusiano wa siku nyingi kati ya vyama vya CCM na CPV
kinachotawala nchini Vietnam, Kushoto ni Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa
NEC siasa na Uhusiano wa Kiamataofa CCM na kulia ni Nape nnauye Katibu
wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi CCM.
Ujumbe wa vyama vya CCM na CPV Vietnam ukiwa katika mazungumzo kwenye hoteli ya Courtyard jijini Dar es salaam leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha
Kimomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan akizungumza katika kikao
hicho, kulia ni Balozi wa Vietnam Tanzania, NguyenThien na kushoto ni
Pham Hai Mkuu wa masuala ya Afrika na aliyekuwa mkaliamani katikamkutano
huo
0 comments:
Post a Comment