Halima Mdee na Idd Azan wakijifua mkoani Dodoma.
Mazoezi yakiwa yamepamba moto.
Mdee akijiimarisha kwa ajili ya kumkabili Wolper.
Mbunge
wa Kawe, Halima Mdee na Idd Azan ambaye ni Mbunge wa Kinondoni,
wameanza kujichua kwa ajili ya mapambano yao ya ndondi katika Tamasha la
Matumaini 2013 litakalofanyika Julai 7 katika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam. Halima Mdee atazipiga na Jacqueline Wolper wakati Idd
Azan akionyeshana ubabe na Jacob Steven ‘JB’
(Picha na Luqman Maloto /GPL, DODOMA)
0 comments:
Post a Comment