Saturday, June 15, 2013

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Mikakati ya  Cristiano Ronaldo kurejea Ligi Kuu ya England katika klabu ya Manchester United imepata nguvu  tena baada ya mchezaji huyo mwenye thamani ya Pauni Milioni 80 kukanusha taarifa za kusaini Mkataba mpya Real Madrid ya Hispania .
Baadhi ya Mashabiki wa klabu ya Manchester United nchini England walijaribu kuchangishana kiasi kikubwa cha fedha ili kumrejesha nyota huyo wa kimataifa wa Ureno lakini Uongozi wa Old Trafford ukasema ni kinyume cha taratibu mashabiki kutoa fedha mfukoni na kumnunua mchezaji.
Sehemu ya taarifa hiyo ilidokeza kuwa kocha ndiye mwenye kuamua mchezaji gani anahitaji na klabu ya Man United haijafilisika kiasi cha kuwalazimu mashabiki kuchangisha fedha bali wanasubiri mapendekezo ya kocha David Moyes anahitaji wachezaji gani.
Manchester United inajiamini itamsajili tena mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28, Ronaldo kabla ya taarifa kutolewa kwa umma na Rais Florentino Perez wa Real Madrid ya Hispania kwamba Ronaldo yuko tayari kusaini Mkataba mpya kubaki Bernabeu kwa kipindi chake chote kilichobaki kwenye soka.
Best of friends: Alex Ferguson and Cristiano Ronaldo after they won the Champions League final against Chelsea 
Marafiki wakubwa: Alex Ferguson na Cristiano Ronaldo baada ya kutwaa ubingwa wa ligi ya mabingwa barani ualya dhidi ya Chelsea
Forever United: After the pair came up against each other this season 
Daima United: Hawa jamaa wanaweza kukutana tena Old Traford misimu ijao
Having a chuckle: The two have always had a good relationship  
Ronaldo na Ferguson mara zote wana mahusiano mazuri sana

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video