Tuesday, June 11, 2013

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Kiungo wa zamani na nahodha wa washika bunduki wa London, Asernal na sasa anakipa kwa miamba ya soka nchini Hispania, FC Barcelona,  Cesc Fabregas leo hii amevunja ukimya na kusema kuwa anataka kukaa katika klabu yake hiyo labda Barca wamuuze wenyewe.
Fabregas ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kusambaa taarifa kuwa nyota huyo anataka kurudi ligi kuu nchini England huku United wakionekana kumuweka katika rada zao.
Fabregas tangu ajiunge na klabu ya Barcelona mnamo mwaka 2011, hajafurahia maisha yake ya soka baada ya kukosa namba ya kudumu katika kiosim cha kwanza cha miamba hiyo ya soka duniani.
Mtandao wa Fullshangwe kwa msaada wa Sportsmail.com unatambua kuwa Febregas ameshaeleza nia yake ya kurudi ligi kuu soka nchini England, huku akitajwa kujiunga na mabingwa hao manchester United.
Lakini leo hii mchana nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 ameibuka tena na kusema kuwa anataka kubaki katika klabu hiyo aliyoanzia kucheza soka.
“Kama Barcelona watasema hawanitaki mimi, basi ni kitu kingine, lakini kiukweli nataka kushinda mataji mengi zaidi nikiwa Camp Nou. Hii ndio ndoto yangu tangu nikiwa mtoto mdogo”. Alisema Fabregas.
Fabregas alisisitiza kuwa kama watu watakuwa wanamzomea, itabidi akubaliane na hali halisi kwani ndio maisha ya soka, kuna wakati mambo yanakwenda vizuri na kuna wakati mambo yanakwenda vibaya.
Staying put: Cesc Fabregas, pictured playing for Spain, wants to overcome the boo-boys at Barcelona Cesc Fabregas amefunguka na kusema kuwa anataka kupambana Camp Nou mpaka kieleweke, hataki kuondoka ingawa anahusishwa na kuhamia ligi kuu nchini England. Pichani juu alikuwa anapambana na vijana wa Azzuri, timu ya taifa ya Italia.
Staying put: Cesc Fabregas, pictured playing for Spain, wants to overcome the boo-boys at Barcelona

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video