BREAKING NEWZZZ!!, AJALI MBAYA YA MAGARI IMETOKEA ENEO LA NANE NANE DARAJANI UYOLE MBEYA , YAJERUHI VIBAYA NA WATU WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA Gari la abiria aina ya HIACE imegongana uso kwa uso na Gari aina ya Land Cruiser Baadhi ya miili iliyookolewa muda mfupi baada ya ajali hiyo Daladala ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali kutokea HILI NDILO ENEO AMBAPO AJALI HIYO IMETOKEA WANANCHI MBALIMBALI WAKIWA KATIKA ENEO LA TUKIO KUSHUHUDIA AJALI HIYO Picha na Michael Mbeya Yetu Blog Habari Kamili inakuja
0 comments:
Post a Comment