Barclays
Tanzania ililifanya semina ya Carrier Fair katika chuo kikuu cha Dar
es salaam UDSM wakati walipokutana na wanafunzi wa masomo ya biashara
katika chuo hicho mwishoni mwa wiki na kutoa mbinu mbalimbali za kibenki
kwa wanafunzi hao ikiwa ni muendelezo wa benki hiyo kushiriki katika
kutoa elimu ya kibenki kwa jamii hasa katika vyuo vikuu na elimu ya juu
,katika picha juu ni Daniel Mbotto, Head of Risk Management wa benki
hiyo , akielezea jambo wakati wa semina hiyo.
Baadhi
ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wanaosomea biashara
wakifuatilia kwa makini maelezo ya wataalam wa kibenki kutoka benki ya
Barclays wakati wa semina hiyo.
Eutropia Mwambeleko, Mkuu wa Kitengo cha Utumishi, Barclays akielezea jambo kwa wanafunzi (hawapo) pichani. Katika semina hiyo ya Barclays Career Fair Chuo Kikuu cha Dar es Salaam |
Neema
Singo, Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Barclays, akielezea
jambo katika Barclays Career Fair UDBS, Chuo Kikuu cha Dar es salaam
0 comments:
Post a Comment