Thursday, May 2, 2013

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua paziakuweka jiwe la msingi maskani ya Amani na Utulivu ya Nungwi Wilaya ya
Kasakazini A Unguja leo,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha
Mapinduzi .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0561 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akionesha
Kadi ya CUF,iliyorejeshwa kwa CCM leo wakati wa mkutano wa wananchi na
wana CCM wa Nugwi Wilaya ya Kaskazini A Unguja,katika ziara ya
kuimarisha Chama leo. .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu IMG_0562Mwanachama wa CUF aliyejitoa katika chama hicho Machu
Kombo Ali,alipokuwa akitoa ushuhuda wake mbele ya umati wa Wana
CCM,katika mkutano ulihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiwa  katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo. .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0567 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
kadi Mwnachama mpya wa CCM Salum Khamis Juma,katika mkutano wa
wananchi na wanachama wa CCM wa Nugwi Wilaya ya Kaskazini A
Unguja,katika ziara ya kuimarisha Chama leo. .[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.] IMG_0570 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
kadi Mwnachama mpya wa CCM Ali Makame Haji,katika mkutano wa wananchi
na wanachama wa CCM wa Nugwi Wilaya ya Kaskazini A Unguja,katika ziara
ya kuimarisha Chama leo. .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0572 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
kadi Mwnachama mpya wa CCM Mkasi Haji Juma,katika mkutano wa wananchi
na wanachama wa CCM wa Nugwi Wilaya ya Kaskazini A Unguja,katika ziara
ya kuimarisha Chama leo. .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0577Wanachama  wapya wa CCM waliokabidhiwa kadi zao za
Chamawakila kiapo cha Utii ili kuanza kutumikia na kutekeleza mambo
mbali mbali yanayohusiana  na Chama cha Mapinduzi,mbele ya Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha
Chama leo .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0580 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)
pamoja na Viongozi wengine wakila kiapo cha Utii wakati wancham wapya
walipoapishwa baada ya kuwakabidhi kazi,jumla ya wanachama Mia na
hamsini walikabidhiwa kadi zao,katika ziara ya Makamu ya Kuimarisha
Chama, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0600Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika kijiji cha
Nungwi,wakinyanyua mikono juu kuungamkono maneno ya msimamo wa Chama
cha Mapinduzi wakati Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai,(katikati)katika ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,katika ziara ya kuimarisha Chama leo. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_0604 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM Jimbo la
Nungwi, katika ziara ya kuimarisha Chama leo. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.] IMG_0620 

0 comments:

voyeur porn porn movies sex videos hd porno video