Tuesday, May 7, 2013

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wapili
kushoto)akiangalia Ilani ya chama cha Mapinduzi wakati alipoweka jiwe
la msingi Tawi la CCM Michenzani leo akiwa katika ziara ya Kuimarisha
Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan
  IMG_0561 
Vijana Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi CCM Kijiji cha
Kwale Micheweni Pemba,wakiwa katika sherehe za uwekaji wa Jiwe la
msingi Tawi la CCM Michenzani leo,lililowekwa na  Makamu Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akiwa katika ziara ya Kuimarisha
Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan
  IMG_0568 
Baadhi ya Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi
CCM,Kwale Michenzani Wilaya ya Micheweni Pemba,wakimsikiliza Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipozungumza nao
katika mkutano akiwa  katika ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya
Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0608 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea
risala ya Tawi la CCM Michenzani,kutoka kwa Mwenezi wa UWT jimbo la
Micheweni Sofia Mohamed Mzirai,baada ya kuliweka jiwe la msingi tawi
hilo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni Pemba.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea kadi
za Wanachama Sitini (60)waliokihama chama cha CUF kutoka Tawi la
Maziwa Ngombe,na kuingia CCM,kutoka kwa Faki Hamadi Juma,katika
sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM Michenzani Kwale
Micheweni Pemba,akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama Wilaya ya
Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0668 
Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake
wakila kiapo cha utii kwa chama baada ya kukabidhiwa kadi zao na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya
Kuimarisha Chama Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0669 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) na
Viongozi wengine wakila kiapo cha utii kwa Chama wakati wa kuwaapisha
wanachama wapya wa CCM katika Tawi la CCM Michenzani leo,katika ziara
ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni Pemba. [Picha na Ramadhan
] IMG_0672 
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai,alipokuwa akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
kuzungumza na wananchi na wanachama wa CCM Kwale Tawi la Michenzani
Pemba,baada ya kuwababidhi kadi za Chama wanachama wapya waliojiunga
na CCM Mia Mbili Ishirini na Nne,(224)akiwa katika ziara ya kuimarisha
Chama Wilaya ya Michweni Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0697 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na
wananchi na wanachama wa CCM Kwale Tawi la Michenzani Pemba,baada ya
kuwababidhi wanachama wapya waliojiunga na CCM Mia Mbili Ishirini na
Nne,(224)akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Michweni
Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_0581 
Mwanamuziki wa kizazi kipya Ibrahim Thabit (IT) akitoa
burudani ya Wimbo wakati wa sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi Tawi
la CCM Michenzani katika Kijiji cha Kwale,liliwekwa  na Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya kuimarisha
Chama Wilaya ya Michweni Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video