Wednesday, May 1, 2013

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua
pazia kama ishara ya uwekaji wa Jiwe la msingi maduka ya  Chama Wilaya
Kusini Unguja,akiwa katika ziara ya Kuimarisha Chama juzi.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_9919 
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akipata
maelezo kutoka Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi pia Waziri wa Kazi
uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Maalim Haroun Ali
Suleiman,alipotembelea Ujenzi wa Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Wilaya
Kusini ya CCM juzi,katika ziara ya Kuimarisha Chama.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]IMG_9950 
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akisikiliza
risala ya wanaushirika wa UWT Daima Tupendane,Kusini Makunduchi,baada
ya kuweka jiwe la msingi jengo la Ushirika huo,alipofanya ziara  ya
Kuimarisha Chama Wilaya ya Kusini juzi.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]IMG_9963Wanaushirika wa UWT Daima Tupendane,wakimasikiliza
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupu pichani)
alipozungumza nao baada ya kuweka jiwe la msingi jengo la Ushirika
huo,alipofanya ziara  ya Kuimarisha Chama Wilaya ya Kusini juzi.[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video