Friday, May 3, 2013

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na
viongozi wa Tawi la CCM wilaya ya Kaskazini  B alipofika kuweka Jiwe
la Msingi Tawi hilo,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha
Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.] IMG_9470 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akifungua
pazia kuweka jiwe la msingi  Tawi la CCM Zingwezingwe wilaya ya
Kaskazini  B,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa
wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9484 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,akipokea Risala ya Wanachama wa  Tawi la CCM Zingwezingwe wilaya
ya Kaskazini  B,kutoka kwa Mshika fedha  Mwaka  Kassim Ali,akiwa
katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini
Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9491 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza
na wanachama wa Tawi la CCM Zingwezingwe baada ya kuweka jiwe la
msingi  Tawi la Kijiji hicho,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama
cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9505 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi tawi la CCM kwa Gube
Mfenesini ,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya
ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.] 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza
na wanachama na wananchi wa Tawi la CCM Donge baada ya kuweka jiwe la
msingi  Tawi la Kijiji hicho,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama
cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9564 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akijenga
moja ya Tofali kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Tawi la CCM
Donge,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya
Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,(Kushoto) Makamo wa Pili wa
Rais Balozi Seif Ali Iddi .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9582 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza
na wanachama na wananchi wa Tawi la CCM Donge baada ya kuweka jiwe la
msingi  Tawi la Kijiji hicho,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama
cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

voyeur porn porn movies sex videos hd porno video