NA GLADNESS MUSHI ARUSHA
IDADI ya watuhumiwa wa tukio la kurusha bomu katika kanisa la
mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Olasiti Mkoani Arusha, imezidi kuongezeka
toka tisa hadi 12 kwa sasa, kati yao majina tisa yametajw ana matatu
bado ni siri kwa ajili ya uchunguzi.

Aidha jeshi la Polisi nchini kupitia Kamishana Mkuu wa jeshi
hilo,(IGP) Saidi Mwema, wametangaza donge nono la shilingi milioni 50
kwa mtu yoyote atakayefanikisha kufichua mtandao wa kigaidi nchini.

Hayo yalisemwa jana na Kamanda wa jeshi la polisi Mkoani Arusha,
Liberatus Sabasi, wakati alipokuwa akitoa taarifa juu ya hatua
walizochukua tangua kutokea kwa mlipuko wa bomu hilo Mei 5 mwaka huu,
majira ya saa 4.300 kwenye kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi,
Olasiti.

Alisema kuwa siku ya tukio kulikuwa na uzinduzi wa kanisa hilo na
mgeni rasmi alikuwa Balozi wa Vatcan nchini Tanzania, Askofu Mkuu
Francisco Padilla na alipokuwa akijiandaa kukata utepe kama ishara ya
uzinduzi, ghafla mtu mmoja aliyejificha kwenye choo cha jirani, upande
wa kaskazini, alirusha kitu kizito.

Kamanda Sabas alisema kitu hicho kilirushwa umbali wa mita 20 na
kilikuwa na ukubwa wa ngumi ya mtu mzima, kuelekea kwenye mkusanyiko
wa wauminina kilipotua chini ulitokea mlipuko mithiri ya bomu na
kusababisha watu 66 kujeruhiwa ambao kati yao watatu walipoteza
maisha.

Kamanda Sabasi aliwataja majina ya watuhumiwa tisa kuwa ni Victor
Ambrose Kalisti (20) mkazi wa kwa Mrombo Arusha na mwendesha boda
boda, Joseph Yusuph Lomayani (18) mwendesha boda boda na mkazi wa kwa
Mrombo Arusha.

Wengine ni George Bathoromeo Silayo (23) mfanyabishara na mkazi wa
Olasiti, Mohamed Sulemani Said (38) mkazi wa Ilala Dar Es Salaam na
huyu ndiyo mwenyeji wao aliyewafuata kwa gari binafsi uwanja wa ndege
Dar Es Salaam na kuwachukua hadi Arusha Hoteli ya Aquline.
Wengine wametajwa kuwa ni Said Abdallah Said (28, ambaye raia wa falme
za kiarabu, eneo la Abudhabi, Abdulaziz Mubarak (30) mkazi wa falmae z
akiarabu, eneo la Saudi Arabia, Jassini Mbarak (29) mkazi wa Bondeni
Arusha, Foud Saleem Ahmed (28) raia wa falme za kiarabu na Said
Mohsen, mkazi wa Najran falme za kiarabu.

Alisema kuwa watuhumiwa hao bado wanaendelea na mahojiano na tayari
jalada la mashtaka yao limepelekwa kwa mwanasheria Mkuu wa serikali,
kwa ajili ya maamuzi ya kisheria.

Kamanda Sabas alisema katika mahojiano na waandishi wa habari, alisema
kuwa katika hatua za awali zinaonyesha bomu hilo siyo la kienyeji na
pia wageni hao walikuw ana VISA halali ya kukaa nchini, kwa madai
walikuja harusini.

“Watuhumiwa hawa tulipowahoji hawa wa falme z akiarabu walidai
wamekuja harusini, lakini tunaendelea nao,”alisema.

0 comments:
Post a Comment