Mfanyabiashara wa maji aliyetambulika kwa jina la Kigira Mhisho(15) akimwaga maji baada ya kubainika kuwa anauza maji bandia.
Wananchi wakimuhoji mfanyabiashara wa maji aliyedaiwa kuuza maji feki tukio hili limetokea leo jijini Dar es Salaam.
Wananchi
wakifuatilia mzozo baina ya mfanyabiashara wa maji na mteja wake baada
ya kubainika kwamba amemuuzia maji bandia.Mfanyabiashara huyo
ametambulika kwa jina la Kagira Mhisho mwenye umri wa miaka 15
inaseemekana kuwa amekuwa akifanya biashara hiyo kwa kutumia maji kutoka
sokoni kariakoo kwa takribani miaka mitatu sasa.Ninvyema wananchi
wakajihadhari na maji yanayouzwa njiani kwani baadhi ya wafanyabiashara
wasiowaaminifu huokota chupa zilizokwisha tumika na kuzitumia.Ninashauri
vyombo husika katika ukaguzi na kujali afya za walaji kuingilia kati
ili
kuepusha wananchi kupata maradhi mbalimbali.
kuepusha wananchi kupata maradhi mbalimbali.
(PICHA NA Frank Shija – MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment