Walimbwende wataoshiriki shindano la redd’s miss tanga wajivua vilivyo!! Washiriki wa shindano la Redd’s Miss Tanga wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na shindano la mkusaka malkia wa Miss Tanga, litakalofanyika Juni 22 kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini humo. Mazoezi yanafanyika katika ukumbi wa Lavida
0 comments:
Post a Comment