Kutoka blog ya Lindi Yetu
![]() |
Mashabiki
wa Yanga na Simba leo asubuhi walizidisha utani kiasi cha kuanza
kuchapana makonde eneo la Mwebeyanga, kiasi cha shabiki wa Yanga kukatwa
kidole.
Habari
zingine tulizozipata kutoka kwa wadau wa soka wamesema katika tawi
kongwe la Mwembe Yanga, wanachama wa Yanga wa tawi hilo, wamekesha
wakinuwiza ubani kwa lengo la kuitakia mema hasa ushindi dhidi ya watani
wao wa jadi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment