TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE BORA WA MWAKA 2013 Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Korosso akimkabidhi zawadi ya mfanyakazi bora Bi. Khadija Ahmed. Wafanyakazi bora wa Tume wakiwa katika picha na Dereva Mwandamizi wa Tume Bw. Goya Zuberi Mchenga (katikati) Bi. Winfrida Korosso akimkabidhi zawadi Ofisa Sheria wa Tume Bi. Kalekwa Kasanga Wafanyakazi bora wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Tume
0 comments:
Post a Comment