Mwenyekiti
wa Tume ya Kurekebisha Sheria Aloysius Mujulizi akimkabidhi Waziri
Katiba na Sheria Mh. Mathias Chikawe Ripoti za Mapitio ya Mfumo wa
Sheria za Haki za Madai na Tamko la Sheria za Kimila ambazo zimefanyiwa
kazi na Tume katika hafla fupi iliyofanyika mkoani Dodoma Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso akizungumza katika hafla hiyo
Baadhi ya watu mbalimbali waliohudhuria makabidhiano hayo Makamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya Ripoti hiyo Sehemu ya watu walohudhuria hafla ya kukabidhi Ripoti za Tume kwa Waziri
0 comments:
Post a Comment