Na GLADNESS MUSHI,SAME
TAASISI ya Kiraia ya Mohispac Foundation kwa kushirikiana na wadau wa
mazingira,inatarajia kuandaa matembezi yenye lengo la kuhifadhi mazingira
na kuokoa Msitu wa Shengena na vyanzo vya maji uliopo katika Wilaya ya Same
Mkoani Kilimanjaro.
Akizungumza Dar es Salaam hivi karibuni, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
hiyo, Mchungaji Nziacharo Makenya, alisema matembezi hayo yanayotarajiwa
kufanyika Julai 15, mwaka huu yataanzia Mpinji kuelekea Mamba Miamba na
maeneo yanayozunguka msitu huo.

Alisema hadi hivi sasa tayari wameanza maandalizi hayo ili kuunusuru msitu
wa Shengena
unaolisha ilaya ya Same,na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Tanga.

Aidha alisema kufuatia uharibifu wa mazingira katika msitu huo wameamua
kuandaa matembezi hayo kutokana na msitu huo kuharibiwa vibaya kiasi cha
kusababisha wanyama katika Mbuga ya Mkomazi kukimbia na kutoweka kabis.

“tunashukuru na tunampongeza mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa kazi nzuri na
njema anayoifanya na timu yake yakuunusuru msitu huo ambayo inatia moyo na
inayohitaji kuunwa mkono na wadau wengine ktk harakati hizo njema na za
matumaini za kurejesha uoto wa asili wa msitu wa
shengena”alise,ma Mchungaji Makenya

Alisema taasisi hiyo imefurahishwa na jitihada zinazofanywa na serikali
ambapo wameamua kuziunga mkono kwa matembezi hayo ya mazingira hususani
msitu wa shengena wenye mali,utajiri,hazina
iliyositirika,maji,utalii,dawa,hifahi kwa wanyama na viumbe hai.

“Kauli mbiu ya matembezi hayo ni Okoa msitu wa Shengena”.
0 comments:
Post a Comment