Friday, May 3, 2013

CHELSEA AMA  WAZEE  WA DARAJANI SASA WAJIHAKIKISHIA RASMI TIKETI ZA KUCHEZA FAINALI YA UROPA LEAGUE DHIDI YA BENFICA SIKU CHACHE ZIJAZO BAADA YA HAPO JANA  KUWACHAPA FC BASEL MAGOLI 3-1 DIMBANI STAMFORD BRIDGE.


Chelsea-Basel

FC BASEL ndiyo walikuwa wa kwanza kuifumania nyavu ya mwenzake mnamo dakika ya 45  ya kipindi cha  kwanza kupitia mshamuliaji M.Salah, huku magoli ya Chelsea yakifungwa na F.Torres dakika ya 50, Victor Moses dakika ya dakika ya 52 huku Davidi Luiz akisukumiza la tatu na la mwisho mnamo dakika ya  59 ya mchezo.

Nao Benfica jana waliweza kuibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya FC Fenerbahc, ushindi amba utawafanya wakutane uso kwa uso na THE BLUES  kwenye fainali.

Benfica-Fenerbahce

Goli la kwanza la  Benfika lilifungwa na N.Gaitan mapemadakika ya 9, huku nao Fenerbahce wakijibu mashambulizi kwa njia ya penati dakika ya 29 kupitia mshambuliaji D.Kuyt, lakini naye O.Cardozo  akiongeza magoli mawili na ya ushindi mnamo dakika ya 35 na 66 ya mchezo kwa upande wa Fenerbahce

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video