Kumekucha….Redds Miss Nyamagana
2013 mchakato umeanza…shindano kufanyika Jumamosi ya tarehe…11/05/2013
JB Belmont Hotel Mwanza..Show nzima Itasimamiwa na mchekeshaji
Zembwela..huku burudani ikikamilishwa na Recho kutoka THT…..Warembo
Zaidi ya 20 watapanda jukwani…wakiwa na hamu sio tu kulichukua taji la
Miss Nyamagana lakini pia Taji la Miss Tanzania 2013/14. Tiketi zitauzwa
mapema, wahi tiketi yako..kwani ni chache mno!! Karibu…
Home
»
»Unlabelled
» Redds Miss Nyamagana 2013 mchakato umeanza
Wednesday, May 1, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment