Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa
heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania
Mzee Benjamin William Mkapa wakiangalia
aina mbalimbali ya mihogo wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika
kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni
jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Mzee Benjamin William Mkapa wakionja
mikate iliyotengenezwa kwa unga wa muhogo wakati wa uzinduzi wa jengo
la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki
(IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.

Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mazungumzo na Rais mstaafu wa Nigeria
na Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo baada ya uzinduzi
wa jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha
Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Rais mstaafu wa Nigeria na
Balozi wa heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo baada ya uzinduzi wa
jengo la sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha
Tropiki (IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais mstaafu wa Nigeria na Balozi wa
heshima wa IITA Chief Olesegun Obasanjo na Rais Mstaafu wa Tanzania
Mzee Benjamin William Mkapa wakisikiliza
maelezo ya kitaalamu juu ya utafiti wa maradhi ya migomba toka kwa
Profesa Rony Swennen wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi katika
kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA) Mikocheni
jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi
katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA)
Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, . Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi wa jengo la sayansi
katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki (IITA)
Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013. Rais
mstaafu wa Nigeria na Balozi wa heshima wa IITA Chifu Olesegun
Obasanjo na Rais Mstaafu wa akihutubia wakati wa uzinduzi wa jengo la
sayansi katika kituo cha Taasisi ya Kimataiafa ya Kilimo cha Tropiki
(IITA) Mikocheni jijini Dar es salaam leo Mei 13, 2013.
0 comments:
Post a Comment