Friday, May 3, 2013

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar Mhe Andry Rajoelina aliyewasili leo jioni ya Ijumaa Mei 3, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana kwa furaha na  Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar Mhe Andry Rajoelina r3 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video