Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa ameongozana na mke wake Mama Salma
Kikwete, wakipokelewa nyumbani kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa
halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa
zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, na Mama Salma Kikwete, wakitambulishwa kwa
watoto wa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na
Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau nyumbani
kwa marehemu Magomeni jijini Dar es salaam walipofika kufariji wafiwa
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani
kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka
Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki
dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es
Salaam alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Mama
Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezi nyumbani kwa
Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka
Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki
dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es
Salaam alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma KLikwete wakiwafariji wafiwa
nyumbani kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec)
na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau,
aliyefariki dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa
kansa ya tumbo.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwet akiwa na watoto wa marehemu Alfred Tandau.
Kulia kwake ni Bw. Henry Tandau na kushoto kwake ni Bw Julius Tandau.
Hapo nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa
halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa
zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
0 comments:
Post a Comment