Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Waziri wa
Zamani wa Kazi ,Marehemu Balozi Alfred Tandau wakati wa mazishi
yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Marehemu Alfred Tandau ambaye alishika nyadhifa mbalimbali serikalini alifariki tarehe 30 Mwezi Aprili wiki iliyopita.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la Maua katika kaburi la
Marehemu Balozi Afred Tandau wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika
makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo jioni na kuhudhuriwa na
viongozi mbalimbali wa kitaifa(picha na Ikulu)
0 comments:
Post a Comment