Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi wengine kuimba
wimbo wa Solidarity Forever wakati wa maadhimisho ya Sikuukuu ya
Wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Mbeya.
Wengine
katika picha kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TUCTA Nicolaus Mgaya, Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mhe.Gaudensia
Kabaka, Kaimu Rais wa TUCTA Bibi Nortubunga Maskini, Mkuu wa Mkoa wa
Mbeya Abbas Kandoro na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Mh.Abdulrahman
Kinana.
Baadhi
ya wafanyakazi wakishiriki katika maandamano yaliyofanyika wakati wa
maadhimisho ya Mei Mosi katika Uwanja wa michezo wa Sokoine mjini
Mbeya(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment