Tuesday, May 28, 2013

IMG_0016 

Waziri Muu, Mizengo Pinda akitazama picha cha iliyofumwa kwa kutumia sufi (Silk) aliyozawadiwa na Naibu Waziri wa Mabo ya Ndani wa China, Yang Huanning,baada ya mazungunzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam, May 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0023 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Naibu Waziri wa mambo ya Ndani  wa China (DEputy Minister for Pubilic Security), Bw. Yang Huanning kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam May 28, 2013. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0625 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa kiwanda cha saruji cha DANGOTE kilichopo  katika kijiji cha  Hiyari Mtwara May 27,2013. Kushoto kwake ni mmiliki wa kiwanda hicho, Alhaji Aliko Dangote. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_1801 
Waziri mkuu akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video