Rais
Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti,
Raphael Mwamoto wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakati alipotembelea
banda la NHIF ambalo linatoa huduma ya upimaji afya bure na elimu ya
Bima ya Afya.
Rais
Dkt. Jakaya Kikwete akiwa na kitabu cha mtindo bora wa maisha ambacho
kinafundisha namna ya kusihi ili kuepukana na maradhi yasiyoambukiza
ambayo yanazidi kuongezeka kila kukicha.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akifurahi jambo na Ofisa Elimu kwa Umma, Grace Michael alipotembelea banda la Mfuko.

Rais Dkt. Kiket Kikwete akiwa katika banda la NHIF ambapo alifurahishwa na huduma zinazotolewa
0 comments:
Post a Comment