

Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais
Jakaya Kikwete kufungua kikao cha Kamati Kuu (CC) ya CCM, leo Mei 21,
2013, kwenye ukumbi wa Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini
Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Dk. Ali Mohamed
Shein na Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, wakiwa
mkutano wa Kamati hiyo, leo Mei 21, 2013, kwenye ukumbi wa Jengo la
White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma

0 comments:
Post a Comment